Kamanda wa polisi Mkoani Tanga, Fraisser Kashai akiwaonyesha waandishi wa habari noti bandia za kimarekani 11,200 ambazo walikamata mapema leo asubuhi kituo kikuu cha mabasi yaendayo Mombasa nchini Kenya baada ya viajan watatu wakiwa katika harakati za kuzibadilisha.
Mumeziona ndugu waandishi dola bandia
Ziangalieni hzi dola za kimarekani feki
Waandishi wa habari Tanga wakichukua tukio zima la pesa bandia za kimarekani zilizokamatwa mapema leo asubuhi baada ya vijana watatu wakiwa katika harakati za kuzibadilisha kwa wafanya biashara wa kubadilisha pesa kituo cha mabasi yaendayo Mombasa
Ndio kama hivyo Mapaparazi wakiwa makini kuzirikodi dola feki ili kuwahabarisha Watanzania juu ya tukio hilo ambalo kama wangeliwini jamaa hao wangelinyakulia zaidi ya shilingi milioni 20 bureeeeeeeeeeee.
Mmili wa blog hii ni Mwandishi wa Gazeti la Mwananchi Tanga, na anapatikana kwa simu 0655 902929
No comments:
Post a Comment