Friday, November 28, 2014

Majeruhi wa ajali Muheza Wanena



 Huyu ni Suka wa Costa iliyokuwa ikienda Lusghoto, Bakari Mussa akichukuliwa maelezo ya awali na Afisa usalama wa barabarani akiwa kitandani hospitali ya Teule Muheza


Hapa wauguzi wakijitahidi kuokoa uhai wa abiria Richard Kitala alimeguka kidevu na kuvunjika mkono

No comments:

Post a Comment