Washiri wa mafunzo ya ufugaji bora wang'ombe wa maziwa Tanga wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Chiku Gallawa, Gallawa alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga kabla ya kugamishwa kwake., Mmiliki wa Blog hii ni Salim Mohammed, Mwandishi wa Gazeti la Mwananchi, Tanga,0655 902929
Washiriki wa mafunzo ya ufugaji bora wa ng'ombe wa maziwa Tanga wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Chiku Gallawa, mafunzo hayo yalikuwa ya siku 7
Miongoni mwa washiriki wa mafunzo ya ufugaji bora wa ng'ombe wa maziwa Tanga
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Chiku Gallawa akifunga mafunzo ya wajasiriamali wa ufugaji wa ng'ombe wa maziwa Tanga juzi
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Chiku Gallawa akifunga mafunzo ya siku 7 kwa wajasiriamali wa ng'ombe wa maziwa Tanga juzi. Salim Mohammed, mwandishi wa gazeti la Mwananchi Tanga,0655 902929
No comments:
Post a Comment