Wafanyabiashara wamachinga kituo cha mabasi Wilayani Korogwe Mkoani Tanga
wakitafuta wateja wa kuwauzia bidhaa zao katika magari kupitia madirishaji. Picha na Kumekucha Blog
Kituo cha mabasi Korogwe Mkoani Tanga kama jamaa hawa wamachinga wakiwa wamelizunguka kosta kutafuta wateja wa bidhaa zao na kudaiwa kuwa kero kwa abiria
No comments:
Post a Comment