Huyu ni msanifu wa majengo shirika la Bima ya Afya Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom) akiwaongoza Wahariri wa vyombo vya habari na waandishi kutoka kila kona ya Mikoa ya nchi hii akiwemo mmiliki wa Blog hii, ndugu yenu Salim Mohammed, katika ziara ya kimasomo katika kongam,ano la 9 la Shirika la Bima ya Afya (NHIF) mjini humo juzi.
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Seif Rashid akifungua kongamano kubwa la Waandishi na wahariri wa vyombo vya habari nchini mjini Dodoma juzi.ambapo mmiliki wa Blog hii alikuwa mmoja wa washiriki
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dr , Seif Rashi akifungua kongamano kubwa la Waandishi wa habari na wahariri na shirikika la bima ya Afya (NHIF) mjini Dodoma juzi
Waziri wa Afya na Ustawi wa jamii,, Dr, Seif Rashid akifungua kongamano la wahariri na waandishi wa habari kutoka mikoa mbalimbali nchini na shirika la bima ya afya mkutano ambao ni 9 uliofanyika mjini humo juzi na mmiliki wa Blog hii alikuwa mmoja wa washiriki.
No comments:
Post a Comment