Hii ni ajali iliyotokea leo asubuhi Mkanyageni Wilayani Muheza Mkoani Tanga wakiangalia ubongo na baadhi ya viungo vya watu vilivyokatika baada ya lori kuligonga basi aina ya Coats iliyokuwa ikifanya safari yake Lushoto
Hwa ni wananchi kutoka sehemu mbalimbali ya Wilaya ya Muheza na Lushoto wakiziangalia maiti na kuzitambua katika hospitali ya Wilaya ya Muheza mapema leo,
No comments:
Post a Comment