WANANCHI WATAKIWA KUJIUNGA NA MFUKO WA AFYA YA JAMII(CHF)
Wakazi wa kijiji cha Ndondondo
kata ya Potwe Wilayani Muheza Mkoani Tanga, wakisikiliza elimu ya kujiunga na
Mfuko wa Bima ya Afya (CHF) iliyokuwa ikitolewa na wataalamu wa mfuko huo
kutoka Makao Makuu Dar es Salaam na Tanga juzi.
No comments:
Post a Comment