Kwa furaha na madaha wahitimu wa shule ya wali Hill View ya Korogwe wakiingia ukumbini kwa bashasha na huku umati wa watu waliofurika wakiwashangiliakwa nguvu, mahafali hayo ni ya 14 shuleni hapo ambayo ni ya mfano wa kuigwa na inadaiwa hakuna shule yenye utaratibu kama huo zaidi ya Hill View ya Korogwe
Wahitimu wa shule ya Hill View ya Korogwe wakiimba wimbo wa Taifa wakati wa mahafali ya 14 shuleni hapo. Jumlaya wahitimu 43 waliweza kutunukiwa vyeti vyao.
Wimbo wa Taifa tunaimba
Wakiwa wamependeza na mavazi yao wakisikiliza kwa makini hutuba ya mgeni rasmi Padri Joseph Sekija wa Parokia ya Korogwe Tanga
Hawa ni makaka na madada wa wahitimu wa Hill View ya Korogwe.
Padri wa Parokia ya Korogwe Tanga, Joseph Sekija akizungumza na wahitimu wa mahafali ya 14 shule ya awali Hill View ya Korogwe Tanga.
No comments:
Post a Comment