Suala la mifugo kuzagaa katikati ya jiji la Tanga limekuwa la mazoea na hivyo kuwafanya watumiaji wa vyombo vya moto na wa miguu kuwa kero licha ya halmashauri ya jiji kutaarifiwa kuhusiana na hilo lakini kero hiyo imeota mizizi
Mifugo ikiendelea kuvinjari katikati ya jiji la Tanga kama walivyokutwa na Kumekucha Blog eneo la Market Street
Imekuwa ikipishana na magari, pikipiki na wapita njia kana kuwa ni wamoja wa watumiaji barabara ilhali wako na njia zao
Basi kwani nao ni viumbe kama walivyo viumbe wengine wanahitaji kuenjoy na kuangalia mazingira kama wengine yote ni mambo ya Tanga kumekucha
No comments:
Post a Comment