Washabiki wa timu ya soka ya African Sports ya Tanga wakiishangilia timu yao wakati wa mchezo kati ya Friends Rangers ya Dar es Salaam na timu hizo kufungana bao moja kwa moja
Washabiki waha wakifuatilia kwa makini timu yao na kuingalia kwa nguvu wakiwemo wanawake na wanaume kama wanavyoonekana hapa kwani timu hii iko na washabiki wengi jinsia tofauti
No comments:
Post a Comment