Picha namba 1,Wachezaji wa African Spotrs ya
Tanga wakilishambulia lango la Villa Squards wakati wa mchezo wa ligi daraja la
kwanza Tanzania Bara uliochezwa katika uwanja wa CCM Mkwakwani, African Spiotrs
ilishinda kwa mabao 2, 1
Picha namba 2,Mshambuliaji wa timu ya Villa
Squards,Mussa Alli (29) akijaribu kumzuia mchezaji wa African Spotrs , Khalfan
Twenye wakati wa mcheo wa ligi daraja la kwanza Tanzania Bara uliochezwa uwanja
wa CCM Mkwakwani, African Spotrs ilishinda kwa mabao 2,1
Picha nsmbs 3, Mlinda mlango wa African Spotrs ya
Tanga, Tokalla Nzauakidaka mpira wa kichwa uliopigwa na mshambuliaji wa Villa
Squards Abdull Muharam wakati wa mchezo wa ligi daraja la kwanza Tanzania Bara
uliochezwa katika uwanja wa CCM Mkwakwani juzi, African Spotrs ilishindwa kwa
mabao 2, 1
Picha nambari 4, Mlinda mlango wa timu ya Villa
Squards, Fadhili Said (1) akiwa ameduwaa baada ya kufungwa bao la pili wakati
wa mchezo wa ligi daraja la kwanza Tanzania Bara uliochezwa uwanja wa CCM
Mkwakwani huku beki Deus Chissambale akishika kichwa akiwa haamini
kilichotokea.
Picha na Kumekucha Blog
No comments:
Post a Comment