Friday, November 14, 2014

Wafanyabiashara wa matunda na ndizi kituo cha mabasi Muheza Mkoani Tanga

Wafanyabiashara wa matunda na ndizi kituo cha kidogo cha mabasi Wilayani Muheza Mkoani Tanga wakiwa wametundika ndizi aina ya mkono wa Tembo kwa staili ya kipekee. Kidole kimo cha ndizi kilikuwa kinauzwa shilingi mia sita hadi mia 800.

 Wafanyabiashara wa matunda na ndizi kituo kidogo cha mabasi Wilayani Muheza Mkoani Tanga wakiwa wametundika ndizi aina ya mkono wa Tembo kwa staili ya kipekee. Kidole kimoja kilikuwa kikiuzwa kati ya shilingi mia 600 hadi mia 800.
Wafanyabiashara wa matunda na ndizi kituo kidogo cha mabasi Wilayani Muheza Mkoani Tanga wakiwa wametundika ndizi aina ya mkono wa Tembo kw staili ya kipekee. Kidole kimoja cha ndizi kilikuwa kikiuzwa kati ya shilingi mia 600 hadi mia 800 kulingana na ukubwa wake.

No comments:

Post a Comment