Wakazi wa Kange Kasera ambao ni wahanga wa reli Asset ambako kunatakiwa kujengwa bandari mpya ya Mwambani Mkoani Tanga wakiandamana kupinga maeneo waliyopewa kuvamiwa na watu wanaodaiwa kuwa ni matajiri wa Tanga baada ya miaka mingi kudai malipo na fidia na hatimae kupewa viwanja hivyo na kutokea balaa jengine, Blog hii inamilikiwa na Salim Mohammed, Mwandishi wa Mwananchi Tanga, 0655 9029292
Wakazi wa Kasera nyuma ya Stendi mpya ya mabasi yaendayo Mikoani Mkoani Tanga wakiandamana kupinga eneo lao walilopewa kwa madai kuwa ni ya kisheria kuvamiwa na watu ambao wanadaiwa kuwa ni matajiri wa Tanga.
Mmmoja wa viongozi wa wahanga wa eneo ambalo linadaiwa kuvamiwa na watu wenye pesa alietambulika kwa jina la Malody kusisitiza kuwa hawatokubali kuondoka eneo hilo baada ya kusota kwa miaka mingi kudai kupewa eneo.
Mmoja wa viongozi wa wahanga wa Rell Asstr ambaye hakujulikana jina lake akisisitiza jambo kuwa eneo hilo wamepewa kisheria na uongozi wa kijiji cha Kichangani na hivyo hawatokubali kuondoka.
Mmiliki wa Blog hii ni Salim Mohammed, Mwandishi wa Gazeti la Mwananchi , Tanga,0655 9029292
No comments:
Post a Comment