Padri Joseph Sekija akitia saini kitabu cha wageni wakati wa mahafali ya 14 shule ya awali ya Hill View ya Korogwe Mkoani Tanga
Padri Joseph Sekija wa Parokia ya Korogwe Mkoani Tanga akiwa ofisi za Shule ya Hills View Korogwe wakati wa mahafali ya 14 ya shule hiyo kwa wanafunzi wa awali, Aliesimama mwenye kanzu ni Mkurugenzi wa Shule hiyo Silvester Mgoma.
Hawa ni wahitimu wa shule ya awali ya Hills View ya Korogwe ambayo ni shule ya mfano wa kuigwa kwani hakuna shule yoyote ambayo imekuwa na utaratibu kama huo wa kufanya mahafali kwa wanafunzi wa shule ya awali
Kama wanavyooneka wakiwa wamependeza na mavazi yao wakiingia ukumbinu, mahafali hayo ni ya 14 na yamekuwa kivutio na kuvurika wageni mbalimbali wa ndani na nje ya nchi ambapo pia shule hiyo iko na wanafunzi kutoka nje ya nchi
Hawa ni madada na makaka wa wahitimu wa shule ya awali ya Hill View ya Korogwe wakiwafurahia wadogo zao wakati wakiingia ukumbuni .
Ndi watoto hao wa Hill View ya Korogwe wakiwa wamependeza na mavazi yao ya mahafali ya 14 ya shule hiyo ya awali wakiingia ukumbini
No comments:
Post a Comment