Padri wa Parokia ya Korogwe Tanga, Joseph Sekija akizungumza katika mahafali ya 14 shule ya Hill View Msambiazi Korogwe
Wahitimu hao wa mahafali ya 14 shule ya awali ya Hill View ya Korogwe
Padri wa Parokia ya Korogwe Tanga, Joseph Sekija akimtunuku cheti, Iren Paul shule ya awali ya Hill View ya Korogwe
Ndio kama hivyo mambo yakiwa yamenoga
Wahitimu wa mahafali ya 14 shule ya awali ya Hill View ya Korogwe Mkoani Tanga wakiwa katika picha ya pamoja na walimu na viongozi wa Taasisi hiyo RMET pamoja na wageni waalikwa.
Wakiwa na nyuso za furaha kama wanavyoonekana hapa wakiwa na wazazi na walimu wa shule ya awali ya Hill View ya Msambiazi Korogwe Tanga,
No comments:
Post a Comment