Kilichowakuta Liverpool, soma hapa!
Hali kwenye klabu ya Liverpool imeendelea kuwa mbaya baada ya kupoteza mchezo wake wa tatu mfululizo kwenye ligi ya England .
Liverpool iliuona uwanja wa Selhurst Park mchungu baada ya kufungwa 3-1 kwenye mchezo wao dhidi ya Crystal Palace
.
Wekundu hao wa huko Anfield walianza kufunga kupitia kwa Ricky Lambert ambaye alikuwa anafunga bao lake la kwanza tangu ajiunge na Liverpool akitokea Southampton .
No comments:
Post a Comment