Sunday, November 23, 2014

Jamani ? Kweli ni haki hii

 Hata kama mtu anakula kwa jasho lak lakini hata wewe unaepma kazi jali afya ya mwenzako
 Ni nani ambaye amempa kazi hii kijana huyo ----haogopo dhambi kwa Mungu jamani"
 Jmaaa yuko mzigoni atafanya nini wakati watoto wanataka kula


Jamaa hajali wala haoni sooo yuko mzigo ila anavyonekana nasema Mungu ndie anaejua

No comments:

Post a Comment