Sunday, November 23, 2014

Kiwanda cha Saruji,Simba Cementi yanogesha mashindano wa kisasa wa samaki Tanga








Picha ya kwanza hadi picha ya sita, Mratibu wa mashindano ya uvuvi wa samaki wanaotumia maboti ya kisasa  Tanga, Albail Sohanpal, akipima samaki wa mmoja wa washiriki hao jana Raskazone  katika pwani ya baharini ya Hindi .

Picha na Kumekucha Blog

No comments:

Post a Comment