Haya hapa majina yaliyoteuliwa na PAC kuandika maazimio ya kuwawajibisha watuhumiwa wa Escrow…
Baada
ya Spika wa Bunge kuahirisha Bunge mara mbili siku ya leo Novemba 29
ili kuipa nafasi kamati ya PAC iweze kufanya marekebisho ya maneno
yaliyoandikwa kwenye maazimio yaliyowasilishwa na Kamati ya PAC,
Mwenyekiti wa Kamati hiyo Zitto Kabwe ametaja majina ya walioteuliwa na Kamati hiyo kuandika maazimio ya kuwajibisha watuhumiwa wa Tegeta Escrow.
Kupitia ukurasa wake wa Facebook (@Zitto Kabwe) ameandika majina ya wajumbe hao.
Hakuna story itakayokupita mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote na Kumekucha Blog
No comments:
Post a Comment