Kofi Annan amtaka Nkurunziza kujiuzulu
Aliyekuwa
katibu mkuu wa umoja wa mataifa Koffi Annan amemtaka rais wa Burundi
Pierre Nkurunziza kujiuzulu huku uchaguzi mkuu ukiahirishwa.
Kumekuwa
na maandamano ya ghasia nchini Burundi pamoja na mapinduzi yaliofeli
tangu Nkurunziza atangaze kuwa atawania muhula mwengine wa tatu wa urais
katika kile watu wanaamni ni ukiukaji wa katiba.Annan ameiambia BBC kwamba rais huyo amepoteza uhalali wake na sasa anafaa kujiuzulu iwapo anawajali raia wa Burundi.
No comments:
Post a Comment