Friday, June 5, 2015

MPAMBANO NANI BINGWA KESHO Diamond

 Bondia wa zamani nchini Bakary Mambeya akimpatia mazoezi Ali Komote wa Tanga katika viwanja vya Mkwakwani Tanga  kujiandaa na pambano lake kesho ukumbi wa Diamond Jubilee kutetetea mkanda dhidi ya William Nophat wa Kenya


 Bondia wa zamani nchini , Bakary Mambeya akimpatia mazoezi bondia, Suod Mundi katika uwanja wa Mkwakwani Tanga kujiandaa na pambano lake la kirafiki dhidi ya Cosmas Cheka kesho katika ukumbi wa Diamond Jubelee.



No comments:

Post a Comment