Sunday, June 7, 2015

SRENA WILLIAM ASHINDA FRENCH OPEN

Taji lingine kwa Serena Williams baada ya ushindi huu

Serena Williams
Pamoja na Serena Williams kutokuwa katika hali nzuri kiafya baada ya kusumbuliwa na mafua, aliweza kufanya vizuri katika fainali za michuano ya French Open zilizomalika jana.
Serena amefanikiwa kumshinda mpinzani wake Lucie Safarova katika fainali za mashindano ya French Open na kufanikiwa kutwaa ubingwa wa mashindao hayo.
sere2
Serena mwenye miaka 33 amekuwa ni mchezaji wa tatu kushinda mataji 20 ya peke yake.
Kwa habari, michezo na burudani, ni hapa hapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment