Thursday, December 24, 2015

AMKA NA MAGAZETI NA CANDLE EDUCATIN CENTRE TANGA

Magazeti yanaletwa kwenu kwa hisani kubwa ya kituo cha Elimu Cha Candle Education Centre Tanga, kituo kinaongoza kufaulisha wanafunzi kidato cha pili hadi cha sita, kituo kiko na walimu waliobobea katika ufundishaji wa masoko ya Hisabati, Sayansi, Biology na masomo mengineyo, kituo pia kinatoa kozi kwa wanafunzi wanaojiunga na masoko ya kidato cha pili, kituo kipo Tanga mkabala na Bank ya CRDB simu 0715 772746

No comments:

Post a Comment