Sunday, December 6, 2015

MAJUMUISHO ZIARA WILAYANI (PICHAZ)


Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mwantumu Mahiza akizungumza kwenye Majumuisho ya Ziara yake na amewasimamisha kazi watendaji watano wa idara ya ardhi na mipango miji kutoka Halmashauri ya Jiji la Tanga ili kufanya uchunguzi kutokana na utendaji mbovu wa kazi.
.
Baadhi ya wakuu wa Wilaya na wakuu wa Idara wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Tanga.
                                    
 Mkuu wa Wilaya ya Tanga Abdulah Lutavi akizungumza wakati wa Majumuisho ya Ziara ya Mkuu wa Mkoa aliyofanya Jiji la Tanga.

 Wawakilishi wa Bandari ya Tanga wakiwa makini wakati wa kikao hicho.

                                     Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Hafsa Mtasiwa.
Dkt.Mkuu wa Hosptali ya Rufaa ya Bombo Asha Mahita akizungumza wakati wa Majumuisho

                                      
Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa wa Tanga kushoto ni Kamanda wa Poilisi Mkoa wa Tanga Zubeir Mombeji.

No comments:

Post a Comment