Wakazi wa barabara ya 14 Ngamiani
kusini wakiangalia chemba la maji machafu likitiririsha maji na kutoa harufu
kali na kupatwa na kitisho cha kukumbwa na ugonjwa wa kipindupindu jambo ambalo
limekuwa kero kwa muda mrefu kwa wakazi wa mtaa huo na wapiti njia.
Jiji la Tanga limekuwa katika changamoto kubwa ya kukabiliana na uchafu na karo kufurika maji machafu jambo ambalo wananchi wamekuwa wakihoji ilhali wanalipa ada ya usafi kila mwaka.
No comments:
Post a Comment