Mourinho hana furaha Chelsea …
December 16 stori zilizopo kwenye mitandao mingi ya soka barani Ulaya ni kuhusu uamuzi wa uongozi wa klabu ya Chelsea kuitisha mkutano wa dharura na kujadili mwenendo wa timu yao sambamba na kumjadili kocha Jose Mourinho. Jose Mourinho akiwa hana furaha ndani ya Chelsea toka amewasili Chelsea mwaka 2013.
No comments:
Post a Comment