Wednesday, December 16, 2015

KUFURU YA PESA

Kufuru nyingine ya bondia Floyd Mayweather na hii saa ya milioni 200..


Bondia maarufu duniani, Floyd Mayweather yupo mapumzikoni dubai.
MY2
Kama sehemu yake ya matumizi ya kawaida bondia huyo ameamua kuonyesha jeuri nyingine ya fedha baada ya kununua saa ya mkononi yenye thamani ya dola milioni 1 sawa na fedha za kitanzania zaidi ya milioni 200.
MY1
Saa hiyo aina ya Hublot ndio saa ghali zaidi duniani kwa sasa.
MY4
Myweather akiwa katika jengo maarufu duniani la Burj Khalifa ambapo ndipo alipofikia.
Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment