Rais Dkt
John Pombe Joseph Magufuli akiwasili kushiriki Ibada ya Krismas misa ya
kwanza katika Kanisa la Mtakatifu Peter jijini Dar es salaam leo Desemba
25, 2015.
Rais Dkt
John Pombe Joseph Magufuli, mkewe Mama Janeth Magufuli na Mke wa Waziri
Mkuu Mama Mary Majaliwa wakishiriki Ibada ya Krismas katika Kanisa la
Mtakatifu Peter jijini Dar es salaam leo Desemba 25, 2015
Sehemu ya
waumini katika Ibada ya Krismas misa ya kwanza katika Kanisa la
Mtakatifu Peter jijini Dar es salaam leo Desemba 25, 2015.
Rais Dkt
John Pombe Joseph Magufuli, mkewe Mama Janeth Magufuli na Mke wa Waziri
Mkuu Mama Mary Majaliwa wakishiriki Ibada ya Krismas katika Kanisa la
Mtakatifu Peter jijini Dar es salaam leo Desemba 25, 2015 PICHA NA
OTHMAN MICHUZI
Muadhama
Askofu Mkuu Polycarp Kardinali Pengo wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam,
akiongoza misa ya Ibara ya Krismas mapema leo asubuhi.
Rais Dkt
John Pombe Joseph Magufuli, mkewe Mama Janeth Magufuli na Mke wa Waziri
Mkuu Mama Mary Majaliwa wakishiriki Ibada ya Krismas katika Kanisa la
Mtakatifu Peter jijini Dar es salaam leo Desemba 25, 2015
Rais Dkt
John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Muadhama Askofu Mkuu Polycarp
Kardinali Pengo wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam aliyemkaribisha kusalimia
wananchi bada ya kumalizika kwa Ibada ya Krismas misa ya kwanza katika
Kanisa la Mtakatifu Peter jijini Dar es salaam leo Desemba 25, 2015.
Rais Dkt
John Pombe Joseph Magufuli akitoa salamu zake za heri ya Krismasi mara
baada ya kumalizika Ibada ya Krismas misa ya kwanza katika Kanisa la
Mtakatifu Peter jijini Dar es salaam leo Desemba 25, 2015.
No comments:
Post a Comment