Ligi Kuu Tanzania na Uingereza watafungua zawadi za Chrismass kwa michezo 16 Dec 26 na 27 …
Ikiwa bado watu wapo katika shamrashamra za sikukuu ya Chrismass, sio vibaya nikukupa taari za wapi ukafungulie zawadi zako za Chrismass siku ya Jumamosi ya December 26 Boxing Day
au hata Jumapili ya December 26. Najua weekend itakuwa ndefu sana mtu
wangu ila sio tatizo, naomba nikusogezee ratiba ya mechi kali za soka za
Ligi Kuu Tanzania bara na Uingereza michezo ambayo itachezwa December 26 na 27.
Ratiba ya mechi za Ligi Kuu Uingereza za Jumamosi ya December 26 kwa saa za Afrika Mashariki
- Stoke Vs Man Utd Saa 15:45
- Aston Villa Vs West Ham Saa 18:00
- Bournemouth Vs Crystal Palace Saa 18:00
- Chelsea Vs Watford Saa 18:00
- Liverpool Vs Leicester Saa 18:00
- Man City Vs Sunderland Saa 18:00
- Swansea Vs West Brom Saa 18:00
- Tottenham Vs Norwich Saa 18:00
- Newcastle Vs Everton Saa 20:30
- Southampton Vs Arsenal Saa 22:45
No comments:
Post a Comment