Saturday, December 5, 2015

WAANDISHI PELEKENI UJUMBE KWA WALIMU

 Naibu katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Samataba,akizungumza na waandishi wa habari wa Tanga, William Mngazija wa ITV na Oscar Assenga katikati wa Gazeti la Mtanzania ambaye pia ni Msemaji wa Timu ya Coastal Union ya Tanga mara baada ya ufunguzi wa kongamno la wadau wa elimu Camferd.










No comments:

Post a Comment