Wachezaji wa Coastal Union
wakilishambulia lango la Stand United leo Uwanja wa CCM Mkwakwani wakati wa
mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara Vodacom.
Mchezaji wa timu ya Stend United, Hassan Banda, akishangilia na wachezaji wenzake goli la pili alilofunga kwa njia ya Penalti leo wakati wa mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara.
Kocha wa Stand United akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kuisha mshezo dhidi yake na Coustal Union na timu yake kuibuka mshindi kwa mabao 3 kwa 1
No comments:
Post a Comment