Waziri
wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto, Mh. Ummy Mwalimu
akizungumza na mmoja wa wakina mama anayemhudumia mwanae katika wodi ya
watoto Hospitali ya rufaa ya Bombo mkoani Tanga alipofanya ziara ya
kushtukiza jana mchana
Waziri
wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto, Mh. Ummy Mwalimu
akimsikiliza mmoja wa akina mama aliyelazwa kwenye wodi ya wazazi wakati
wa ziara ya kushtikiza aliyoifanya mchana wa leo Desemba 20, 2015
katika Hospitali ya rufaa ya Bombo mkoani Tanga.
Waziri
wa Afya, Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto, Mh. Ummy Mwalimu
akizungumza na mmoja wa wahudumu wa afya (jina lake halikuweza
kupatikana kiurahisi) wa dirisha la dawa katika Hospitali ya rufaa ya
Bombo mkoani Tanga alipofanya ziara ya kushtukiza mchana Disemba
20, 2015.
Daktari
aliyekuwa kwenye mafunzo, Dkt. Zuberi (Medical Intern) akitoa maelezo
ya namna wanavyohudumia wananchi wanaofika hospitalini hapo Waziri wa
Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto, Mh. Ummy Mwalimu
(kulia) aliyefanya ziara ya kushtukiza katika Hospitali ya rufaa ya
Bombo, mkoani Tanga mchana wa leo Desemba 20, 2015 ambapo Waziri huyo
alikutana na changamoto utoro wa madktari wa zamu kutokuwepo kwenye
kituo chao cha kazi katika Hospitali ya rufaa ya Bombo, mkoani Tanga.
Kaimu
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Tanga (RMO), Dkt. Clement Marceli akimwelezea
changamoto wanazokabiliana nazo katika Hospitali ya rufaa ya Bombo
mkoani Tanga Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto,
Mh. Ummy Mwalimu (hayupo pichani).
Mratibu
wa Hospitali ya Rufaa ya Bombo, mkoani Tanga kutoka Idara ya Tiba,
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto, Dkt.
Ibrahimu Maduhu (mwenye tai) akitoa maelezo kwa Waziri wa Afya,
Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto, Mh. Ummy Mwalimu namna
wanavyokabiliana na changamoto ya kuzuia vifo vya mama na mtoto katika
hospitali hiyo wakati wa ziara ya kushtukiza iliyofanywa na Mh. Ummy
Mwalimu katika wodi ya wazazi jana Disemba 20, 2015.
Baadhi
ya madaktari waliokuwa mafunzoni wakizungumza na Waziri wa Afya,
Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto, Mh. Ummy Mwalimu
aliyefanya ziara ya kushtukiza katika Hospitali ya Rufaa ya Bombo,
mkoani Tanga jana Disemba 20, 2015.
Waziri
wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto, Mh. Ummy Mwalimu
akipitia orodha ya mahudhurio ya zamu za Madaktari na Wauguzi ambao
wengi hawakuwepo kazini wakati wa ziara yake ya kushtukiza
katika Hospitali ya rufaa ya Bombo, mkoani Tanga aliyoifanya jana
Disemba 20, 2015.
Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog
No comments:
Post a Comment