Mwanafunzi wa sule ya Indian Ocean
English Midium School ya Donge Tanga, akionyesha huduma ya kwanza inavyotolewa
wakati wa maonyesho mahafali ya 8 shuleni hapo jana ambapo jumla ya wahitimu 76
walimaliza masomo yao ya msingi.
Mwanafunzi wa shule ya Indiani Ocean English Midium School ya Donge Tanga, akionyesha mfumo wa moyo wa binadamu unavyofanya kazi wakati wa mahafali ya 8 shuleni hapo jana ambapo jumla ya wahitimu 76 walimaliza masomo yao.
Wahitimu wa shule ya Indian Ocean Midium School ya Donge Tanga wakiimba kufurahia kumaliza elimu ya msingi ambapo jumla ya wahitimu 76 walimaliza elimu yao.
No comments:
Post a Comment