Rais MAGUFULI alivyokutana na Maalim Seif leo Dec.21,2015 ikulu…Picha
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli leo
Desemba 21,2015 amekutana na Makamu wa kwanza wa Rais wa Serikali ya
Mapinduzi ya Zanzibar Mhe.Maalim Seif Ikulu Dar es salaam na kufanya
naye Mazungumzo kuhusu hali ya kisiasa visiwani humo.
Kwa habari, matukio na michezo ni hapa hapa Tangakumekuchablog
No comments:
Post a Comment