Pale ambapo sherehe ya harusi inalazimika kuendelea japo bwana harusi kafariki…
Ndugu jamaa na marafiki walijikuta
wakiendelea na ratiba ya mazishi kwa mtindo wa sherehe baada ya bwana
harusi kufariki… bibi harusi nae ilibidi akubaliane na ukweli kwamba
ndoa yao imekatishwa na kifo cha mume mtarajiwa.
Kifo cha bwana harusi John Mwangi kilitokana na ajali baada ya gari kutumbukia mtoni maeneo ya Kabarnet, Kaunti ya Baringo Kenya…
lakini kwa sababu mipango ya harusi ilikamilika kwa asilimia kubwa,
ilibidi shughuli za msiba na mazishi zifanyike kila kitu kama harusi
ilivyopangwa.Kwa habari, matukio na michezo ni hapa hapa ni hapa hapa tangakumekuchablog
No comments:
Post a Comment