Sunday, December 13, 2015

MIRUNGI TUMEIKAMATA



, Kamanda wa polisi Mkoani Tanga, Zuberi Mombeji, akiwaonyesha waandishi wa habari roba za madawa ya kulevya aina ya mirungi kilo 200 zilizokamatwa juzi katika kizuizi cha polisi cha Makuyuni Wilayani Korogwe  Tanga.





No comments:

Post a Comment