ZIARA YA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA MKOANI KIGOMA
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa
akizindua soko na Mwaro wa samaki wa Kibirizi mjini Kigoma Desemba 28 ,
2015.Kushoto ni Mkuu wa Mkoa huo Issa Waziri Mkuu, Kassim Majliwa
akizindua soko na Mwaro wa samaki wa Kibirizi mjini Kigoma Desemba 28 ,
2015.Kushoto ni Mkuu wa Mkoa huo Issa Machibya. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)Machibya. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa
akikagua dagaa wanaokaushwa kitalaam kwa kutumia jua wakati
alipozindua soko na mwaro wa kisasa wa samaki wa Kibirizi mjini Kigoma
Desemba 28, 2015. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
Mkazi wa Kigoma mjini
akionyesha bango katika mkutano uliohutubiwa na Waziri Mkuu Kassim
Majaliwa kwenye soko la samaki la Kibirizi mjini Kigoma Desemba 28,
2015.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akipata maelezo kutoka kwa mkuu wa mkoa wa Kigoma, Issa Machibya kuhusu
bunduki iliyokatwa ili kupunguzwa urefu ambayo ilikamatwa na polisi
mkoani Kigoma wakati ilipotumika katika uhalifu. Mheshimiwa Majaliwa
alikwenda kwenye Ofisi ya Kamanda wa polisi wa Mkoa wa Kigoma kukagua
silaha mbalimbali zilizokamatwa na polisi Desemba 28, 2015.. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa
akitazama kifaa kinachotumiwa na wahalifu kutengeneza risasi za
bunduki aina ya goboli wakati alipokagua silaha mbalimbali zilizokamatwa
na polisi mkoani Kigoma na kuhifadhiwa kwenye Ofisi ya Kamanda wa
polisi wa mkoa huo, Desemba 28, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Watumishi wa Serikali Kuu na
Serikali za Mitaa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majliwa wakati
alipowahutubia mjini Kigoma Desemba 28, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Watumishi wa Serikali Kuu na
Serikali za Mitaa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majliwa wakati
alipowahutubia mjini Kigoma Desemba 28, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa
akizungumza na watumishi wa serikari Kuu na Serikali za Mitaa mjini
Kigoma Desema 28, 2015. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Issa Machibya.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment