Tangakumekuchablog,
MKWAKWANI, Timu African Sports inaendelea kuiminya Yanga huku dakika zikiwa zinaelekea lala salama ambapo hadi muda huu hakuna goli lililoingia upande wowote.
Spotrs ambayo leo inaonekana kuzinduka na kuiminya Yanga inataka kurejesha imani za washabiki wake ambapo hata droo kwao ni ushindi.
Tusubiri wakati kipute kikiendelea hapa uwanjani.
No comments:
Post a Comment