Friday, December 25, 2015

TANGA WALIVYOSHEREHEKEA KRISMASS KWA AINA YAKE

 Wakazi Tanga wakisherehekea Sikuku ya Krismas kwa kuogelea Ufukwe wa Beach ya  Raskazone ambapo watu mbalimbali kutoka mjini na Wilayani walisherehekea kwa kuogelea na kupata viburudisho vipatinavyo hapo.





No comments:

Post a Comment