RAIS DK. JOHN POMBE MAGUFULI AWAAPISHA MAWAZIRI IKULU LEO
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya
Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimuapisha Waziri wa Ujenzi na
Uchukuzi Mh. Profesa Makame Mbarawa Ikulu, ambapo amewapisha mawaziri
watano kujaza nafasi za mawaziri zilizokuwa wazi katika wizara kadhaa za
serikali ya awamu ya tano, Hafla ya kuwaapisha mawaziri hao imefanyika
leo asubuhi.(PICHA NA JOHN BUKUKU – FULLSHANGWE-IKULU)
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya
Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimuapisha Waziri wa Maji na
Umwagiliaji Mh. Gerson Lwenge kuongoza wizara hiyo ikulu leo asubuhi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya
Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimuapisha Waziri wa Fedha na Mipango
Dk. Philip Mpango kuongoza wizara ya fedha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya
Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimuapisha Waziri wa Wizara ya Elimu,
Sayansi, Teknolojia na Ufundi Dk. Joyce Nderichako.
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya
Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimuapisha Naibu Waziri wa Wizara ya
Ndani Hamad Yussuf Masauni.
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya
Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akipiga picha ya pamoja na mawaziri
walioapishwa katika picha wa pili kutoka kushoto ni Makamu wa Rais Mh.
Samia Suluhu Hassan, wa pili kutoka kulia ni Mh. Majaliwa, Kassim
Majaliwa Waziri Mkuu, Kulia ni Mh. Goerge Masaju Mwanasheria Mkuu wa
Serikali na Kushoto ni Katibu Mkuu Kiongozi Mh. Ombeni Sefue.
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya
Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akipiga picha ya pamoja na mawaziri
walioapishwa pamoja na manaibu Waziri katika wa pili kutoka kushoto ni
Makamu wa Rais Mh. Samia Suluhu Hassan, wa pili kutoka kulia ni Mh.
Majaliwa, Kassim Majaliwa Waziri Mkuu, Kulia ni Mh. Goerge Masaju
Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Kushoto ni Katibu Mkuu Kiongozi Mh.
Ombeni Sefue.
Baadhi ya Mawaziri wakiwa wamekaa
katika hafla hiyo kutoka kushoto ni Mh. Dk. Agustino Mahiga waziri wa
mambo ya nje , Ushirikiano wa Kimataifa , Ushirikiano wa Afrika
Mashariki Kimataifa na Kikanda, Mh. Dk. Harrison Mwakyembe Waziri wa
Sheria na Katiba, Mh. Charles Kitwanga Waziri wa Mambo ya Ndani na Naibu
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi na Mawasiliano Mh. Injinia Edwin Mgonyani.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano ya Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mh. Waziri
Mkuu Majaliwa, Kassim Majaliwa na Mwanasheria Mkuu wa serikali Mh.
George Masaju katika hafla hiyo.
Mawaziri walioteuliwa wakisubiri kuapishwa na Rais Dk. John Pombe Magufuli Ikulu leo jijini Dar es salaam.
Baadhi ya waandishi wa habari waksubiri kushuhudia tukio hilo.
No comments:
Post a Comment