Friday, December 18, 2015

KIPUTE UWANJANI

December 19 na 20 itatekwa na michezo 26 yakuvutia kwa Tanzania, Uingereza na Hispania…


Tukiwa bado katika shamrashamra za maandalizi ya sikukuu ya Chrismas na mwaka mpya, burudani ya soka bado inaendelea kama kawaida duniani kote. Najua weekend inaweza ikaboa kama utakosa mahala pazuri pakwenda kuenjoy na kufurahia. Mtu wangu wa nguvu naomba nikusogezee ratiba ya michezo 26 mikali ya soka itakayochezwa weekend ya December 19 na 20 kwa Tanzania, Uingereza na Hispania.
Hii ndio ratiba ya mechi za Ligi Kuu Tanzania bara kwa michezo ya December 19 na 20
13
Mechi zote za Ligi Kuu Tanzania bara za December 19 na 20 zitachezwa Saa 16:00
Ratiba ya mechi za Ligi Kuu Uingereza December 19 na 20
1
Ratiba ya Ligi Kuu Uingereza ya December 19 kwa saa za Afrika Mashariki 
  • Chelsea Vs Sunderland Saa 18:00
  • Everton Vs Leicester Saa 18:00
  • Man Utd Vs Norwich Saa 18:00
  • Southampton Vs Tottenham Saa 18:00
  • Stoke Vs Crystal Palace Saa 18:00
  • West Brom Vs Bournemouth Saa 18:00
  • Newcastle Vs Aston Villa Saa 20:30
Ratiba ya Ligi Kuu Uingereza ya December 20 kwa saa za Afrika Mashariki 
  • Watford Vs Liverpool Saa 16:30
  • Swansea Vs West Ham Saa 19:00
Ratiba ya mechi za Ligi Kuu Hispania December 19 na 20
3
Ratiba ya Ligi Kuu Hispania ya December 19 kwa saa za Afrika Mashariki 
  • Valencia Vs Getafe Saa 18:00
  • Espanyol Vs Las Palmas Saa 20:15
  • Real Betis Vs Sevilla Saa 22:30
  • Deportivo de La Coruña Vs Eibar Saa 00:05
Ratiba ya Ligi Kuu Hispania ya December 20 kwa saa za Afrika Mashariki 
  • Real Madrid Vs Rayo Vallecano Saa 18:00
  • Ath Bilbao Vs Levante Saa 20:15
  • Granada CF Vs Celta de Vigo Saa 20:15
  • Real Sociedad Vs Villarreal Saa 20:15
  • Málaga Vs Atl Madrid Saa 22:30
Kwa habari matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment