Wednesday, June 15, 2016

BASI LA TAHMEED LAUNGUA MOTO LIKIWA SAFARINI

Basi la abiria lawaka moto .

Basi la abiria lililokua likitokea Dar es salaam kwenda Mombasa kupitia Tanga limewaka moto maeneo ya kwamkonga wilayani Handeni mkoani Tanga.

kwa mujibu wa shuhuda ,amesema kwamba chanzo kikuu cha ajali hiyo ni pancha.iliyo sababisha gari hilo kupasuka  na gari kushika moto.

kwa mujibu wa shuhuda huyo,hakuna aliye dhurika,wala kupoteza maisha.

No comments:

Post a Comment