Carneiro aafikia makubaliano na Chelsea

Aliyekuwa daktari
wa klabu ya Chelsea Eva Carneiro, ameafikia makubaliano kuhusu
kutimuliwa kwake kutoka kwa klabu, nje ya mahakama.Chelsea imesema kuwa inajutia kisa kilichosababisha daktari wake wa kwanza kuhama klabu hiyo.
No comments:
Post a Comment