Waliougua saratani ya matiti kutibiwa miaka 10

Utafiti mpya
umebaini kuwa wanawake ambao wamewahi kuugua saratani ya matiti huenda
wakanufaika na chembechembe zinazozuia ugonjwa huo kwa muda mrefu zaidi
kuliko muda wa sasa wa miaka mitano.Visa vingi vya saratani ya matati husababishwa na homoni za kike zinazofahamika kama 'Oestrogen' na dawa za kuzia homoni hizo hutumia sana..
Watafiti hao wanasema matokeo ya utafiti huo huenda yakabadili matibabu kwa mamilioni ya wanawake.
Watafiti hao pia wameonya kuwa dawa za kuzuia homoni hiyo zinaathari kubwa kama kuvunjika kwa mifupa na kukosa hamu ya kujamiana.
BBC
No comments:
Post a Comment