Mfanyabiashara wa kuuzwa mwiko na
pawa ambaye hakutambulika jina lake akichuuza biashara yake mitaa ya Usagara
Tanga kama alivyokutwa na Camera ya tangakumekuchablog.
Biashara wahenga wanasema Kizuri chajiuza Kibaya Chajitembeza lakini msemo huu unaendana tofauti ya Kijana huyo ambaye amekuwa akitembeza biashara yake katikati ya jiji la Tanga na kuuza hadi kuishiwa na bidhaa zake.
Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog
No comments:
Post a Comment