Pandisheni bei ya petrol mtupunguzie sukari’-Mbunge Maji marefu

Wakati wabunge wakiendelea kuijadili bajeti kuu ya serikali trilion 29.5, Mbunge wa Korogwe vijijini Stephen Ngonyani maarufu kama Maji marefu amesimama bungeni kuhoji sababu za serikali kusahau kuongelea suala la sukari katika bajeti yake.
Maji marefu amesema…>>>’Mmeacha
bei ya petrol kama ilivyo, ningeomba mpandishe. Maana ya kupunguza bei
ya mafuta inamaana wasafiri wapunguziwe gharama lakini hakuna mtanzania
yeyote ambaye amepunguziwa gharama za nauli‘
‘Kwasababu hatufaidiki kwa
lolote ningeomba mpandishe petrol mtupunguzie sukari, sukari
hamjaiongelea hapa lakini sukari ni kitu muhimu sana kwa Watanzania‘- Mbunge Maji marefu
No comments:
Post a Comment