Sunday, June 12, 2016

MKONO WA TEMBO , FUTARI



Mfanyabiashara wa Ndizi aina ya mkono wa tembo soko kuu la Ngamiania Tanga, Hamad Omar, akitayarisha ndizi zake kuwauzia wateja, kipindi hiki cha mwezi Mtukufu wa Ramadhani ndizi hutumika kama moja ya Futari, Kidole kimoja cha mkono wa tembo kilikuwa kikiuzwa kwa 1,000 hadi 1,200 kulingana na ukubwa.






No comments:

Post a Comment