Sunday, January 8, 2017

MSIMU WA UVUNAJI NYANYA TANGA UMEWADIA



Mkulima wa mbogamboga shamba la Ngomeni kata ya Chumbageni Tanga, akivuna nyanha  na kuuza katika masoko ya Tanga mjini, wakulima hao wamekuwa wakiendesha kilimo chao na kutegemea wateja mmoja mmoja baada ya kukosa soko la uhakika na baadhi ya wakati kuwaozea mikononi.








No comments:

Post a Comment