Chemba ya majitaka barabara ya 11
Ngamiani Kusini Tanga, ikitiririsha maji machafu yanayotoa harufu mbaya na kuwa
kero kwa wafanyabiashara wenye maduka na watumiaji wa njia hiyo.
Chemba hiyo imekuwa kero na wafanyabiashara wenye maduka wamedaiwa kuchosha na kuitaka mamlaka yenye kuhusika kuchukua hatua haraka ya kulikarabati ili kuepusha kuzuka kwa magonjwa ya miripuko.
No comments:
Post a Comment