Sunday, January 1, 2017

UZEE NI DAWA BADO NIMO NIMO



Mzee Mwinyi Shaban maarufu (Maembe) mkazi wa barabara ya 15 Ngamiani Tanga akipaka rangi maua moja ya kawa lililoletwa na mteja. Kawa moja hupaka rangi kwa shilingi 3,000 na mkoba mmoja wa ukili hupaka kwa shilingi 5,000.










2 comments:

  1. Ma shaa Allah jamani makawa hadi leo hii yapo? Na mifuko ya ukili yani hadi raha

    ReplyDelete
  2. Ma shaa Allah jamani makawa hadi leo hii yapo? Na mifuko ya ukili yani hadi raha

    ReplyDelete